Dean of Swagger
Member
- Dec 19, 2013
- 24
- 22
04:40
Well done b…01:32
Ova
Huyo shemeji yako mwenyewe leo? Basi tu.Leo Nifah amebambiwa na shemeji hadi ametusahau.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Tuianze wiki nyingine kwa tumaini jipya.12:00 AM
Weekend imekwisha.
jumatatu hazinaga huruma,Tuianze wiki nyingine kwa tumaini jipya.
Mi sijawahi kuona kama ina shida, mara nyingi.jumatatu hazinaga huruma,
full mateso
hukumbuki magwaride ya shule na kugaguliwa uniform?Mi sijawahi kuona kama ina shida, mara nyingi.
Nafikiri sababu sinywi wala kujirusha.
Hayo pia nilikuwa napenda, sikuwa na wasiwasi na ukaguzi maana nilikuwa nimenyooka always.hukumbuki magwaride ya shule na kugaguliwa uniform?