Hujachelewa kuna kitu iko APA mlimani city ni shida aaa!!!!! muziki wa Afrika .sio poa...,inaitwa Access .Mm ndo nataka nitoke nitafute bar zilipo.
Nimekumic mdada vipi shemu leo hayupo nini?00:50 Nammiss big time
Katoka ndio niko hapa kumsubiri…
Mbona umemruhusu atoke mwenyewe ataibiwaKatoka ndio niko hapa kumsubiri…
Pambania uipatekuna mahali ilihitajika NIDA, bado sina😂
Hujachelewa kuna kitu iko APA mlimani city ni shida aaa!!!!! muziki wa Afrika .sio poa...,inaitwa AccessMm ndo nataka nitoke nitafute bar zilipo.
Habari za wakati huu wakuu
Amka uweke bustaniO4:58
Hii mvua jamani
Ukiwa na baby lazima uifaidi hii mvuaO4:58
Hii mvua jamani
Baridi aisee😂. SitawezaAmka uweke bustani
Kwa kweli
Usiamke usije ukaumwa maana kuna baridiKwa kweli