Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,784
- 58,393
444 triple four
Pole.. shida nini kijana..?4:48 AM
naumwa aisee
kifua....Pole.. shida nini kijana..?
Pole sana.kifua....
kuna baridi sana saivi hukuPole sana.
Baridi sio..?
Pole chief4:48 AM
naumwa aisee
Oooh pole sana..kuna baridi sana saivi huku
asante sana chiefPole chief
wasalimie sana huko darslum😂Oooh pole sana..
We vaa masweta na mazaga mengine kibao utakua poa soon
Salamu zimefika mkuuwasalimie sana huko darslum😂
bado hatujamaliza morning glory😂Nafunga lindo....tusambaratike sasa😎
Sins mzuka kabisa leobado hatujamaliza morning glory😂
VP,umevaa Sweater?bado hatujamaliza morning glory😂
nimejifunika na mablanketi mawili😂VP,umevaa Sweater?
Kibaridi kidogo hiki unaugua,ndo mshangazi ukukalie juu utapumua kweli wewe?nimejifunika na mablanketi mawili😂
mshangazi una joto sio baridi😂Kibaridi kidogo hiki unaugua,ndo mshangazi ukukalie juu utapumua kweli wewe?
😂vitakuua,shauri yakomshangazi una joto sio baridi😂