100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,179
- 36,375
3:12
Amka tulinde mrembo
Mambo mrembo?
Kumekucha 🤓🤓🤓
Salimiaaa, isi onekane Kama wote tuko daslam 🤒😆Kumekucha 🤓🤓🤓
😂umezinguaKumekucha 🤓🤓🤓
Poa,unalala mnoMambo mrembo?
😂 haikuwa rahisi, kuna komenti niliandika maroroso matupu kwa kusinzia nikaona isiwe tabu nikafuta na kuweka emoji nikazima data nikalala.Pole sana,
Niliamua kuangusha pia😒Amka tulinde mrembo
😂😂😂😂ukaona..eeeh isiwe shida😂 haikuwa rahisi, kuna komenti niliandika maroroso matupu kwa kusinzia nikaona isiwe tabu nikafuta na kuweka emoji nikazima data nikalala.
Pole cute,hope umeamka salamaUsingizi umekata kabisa🥴