JamiiForums Usiku wa manane

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sie wenzako tumekula sana ma manzi kwa hiyo mbinu endelea kubisha tuu.. alafu ka mzizi tu.. ukiongea nae unaona anacheka cheka.. shika mkono.. peleka guest.. sema unaweza jikuta unakuwa mgongaji pro max . .. maana chochote kila utakila tu.. hela yako ni kulipia chumba na kama utakuwa na huruma una mpa hela ya P2
 
wewe si msomi?

kasome 'placebo effect' ndo inasababishwa na huo mziziπŸ˜‚
 
Kwanzia leo siongei na mwanaume πŸ™„πŸ™„πŸ™„kumbe mambo yenyewe ndyo haya...I hope huu uchawi haupiti kwenye keyboard
 
Kwanzia leo siongei na mwanaume πŸ™„πŸ™„πŸ™„kumbe mambo yenyewe ndyo haya...I hope huu uchawi haupiti kwenye keyboard
hata nyayo inatosha.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
kwenye keyboard mzozo
. .. ila ukikubali kuonana live na mtumia dawa imeisha hiyooo.. unashtuka wakati unaenda bafuni kujiswafi πŸ₯ΈπŸ₯Έ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…