Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
uhh sidhan lakn kukosa usingiz usiku ni hali ya kibinadamu japo hutokea mara kadhaa kwenye maisha.Kwa kwel mm nawaza au nimeshtushwa na hali ya maisha..
Ukiwa na hela hata usingizi unakutiii
NAtamani sana kazi za kupiga lindo usku...mara nyingi sina usingizi uskuuhh sidhan lakn kukosa usingiz usiku ni hali ya kibinadamu japo hutokea mara kadhaa kwenye maisha.
karbu lindoni🌚
0125
Nipo naangalia Big brother naija
Vip mkuu mbona kushangaa?[emoji851]