mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,936
mr kenice habari yako01:16
mr kenice habari yako01:16
Kher Kabisa zakwako mkuu.mr kenice habari yako
za kwangu safi kabisa mkuuKher Kabisa zakwako mkuu.
Naona majukum kama kawaida.za kwangu safi kabisa mkuu
ndio mkuu sisi ndio sungu sunguNaona majukum kama kawaida.
Had kieleweke.ndio mkuu sisi ndio sungu sungu
04:46 haya wale wenye pair amkeni ndio mida hii, wenzangu na mimi tujivute vute tuamke kumekucha
Nimeshazoea kujivuta vuta tuu, huo utukufu wa asubuhi umenipita mbali sanakwanini ujivute vute peke yako kuja nikupe morning glory![]()
Ata kuja aku chome kisu🤒😁MIDA YA KUMPALAMIA BEKI TATU KWA HARAKA SANA NA KUSEPA 05:48
siti ya pembeni ya siti ya mbeleSiti ya mbele