We komaa kuna wengine miandiko yao yakiumeKuna id ya kike na chat nayo ila nina wasiwasi na mwandiko wake isije kuwa ni dume hili, [emoji848][emoji848][emoji848]
Karibu lindoo00:25.. [emoji102]
Lindo lako hili leo.. Mie napita tuuπππKaribu lindoo
Acha nione kaniambia ni singo maza, yupo dsm ana hips tudogo tutamuWe komaa kuna wengine miandiko yao yakiume
Paka shume, hujambo dogo nakusalimu ποΈποΈ00:25.. π
ππππ Dogo huna adabu kabisaa.. Miss uPaka shume, hujambo dogo nakusalimu ποΈποΈ
Vifaranga vyangu vinaendeleaje huko, πππππ,ππππ Dogo huna adabu kabisaa.. Miss u
Hawajambo jamanππVifaranga vyangu vinaendeleaje huko, πππππ,
Crush wako wa amapiano umemuona πππππππView attachment 2671039
Niletee kimoja nikifundishe programming rafiki,Hawajambo jamanππ
Ah wee wameanza na shule nowπππNiletee kimoja nikifundishe programming rafiki,
Dunia inaenda kasi sana ππππ,
Hivi bado vinanyonyaga tu sio?
Waooooh, kindergarten sio au class 1, tiyari ππππAh wee wameanza na shule nowπππ
Aah wapi bhnππππWaooooh, kindergarten sio au class 1, tiyari ππππ
Sema vitakuwa vizuri kama mama yao ππππ,