National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
ndio mke wangu yumo humu humu jf. nimeisha kuambia mcheki tu umlinde π π π πNamaanisha nipe kazi ya kumlinda mkeo, we ukienda kaziniππ
π π π china si ndio hub yako kibiashara, sio unaenda bali unaishi hukoPoor Brain Nani alikuambia nilienda Chinaππππ€
Niko nanjilinjii mkuuππππ Poor Brain na National Anthemπ π π china si ndio hub yako kibiashara, sio unaenda bali unaishi huko
Ukuje mkuu msimu huu wa matikiti aiseeeC.zone huwa napaelewa sanaa
C.zone ni mji mkuu wa tanzania huku kwa wajanja wa mjiniNdo wapi huko mkuu π€, yaani Niko nanjilinjii sielewi kituπππ
Kumbe uko huko mkuu, nipe dili Sasa ππ. Nimechoka kuchimba chumvi nanjilinjiiC.zone ni mji mkuu wa tanzania huku kwa wajanja wa mjini
Nilifatilia tuu..Poor Brain Nani alikuambia nilienda Chinaππππ€
Hapana kwanini unachoka mapema hivo wakati inabidi tupambane..Kumbe uko huko mkuu, nipe dili Sasa ππ. Nimechoka kuchimba chumvi nanjilinjii
Kazi ipi mkuuπ€πππ, kuchimba chumvi na sululu auπ€Hapana kwanini unachoka mapema hivo wakati inabidi tupambane..
Alafu kazi unayofanya mbona full kiyoyozi mkuu
Ndio kabisa an....Kazi ipi mkuuπ€πππ, kuchimba chumvi na sululu auπ€
ASANTEPole sana aiseeee......
Sasa hapo kula sana mchemsho wa mboga za majani yaani per week utaona mabadiliko
Tumia ndani ya wiki+ pedinilson kunywa vi4 kutwa Mara 2, asb-jioTHanks alot
Nipo bhanaππ π π Unapotea sanaaa
Upo wapi toa maelezo ya kushatoNipo bhanaπ
wewe mambo yako si safi sasa hivi banaa.. fresh tu ππNipo bhanaπ
Dahan ona bangi za vijana πππ, mh nanjilinjii ndo China kihaya NiniπππNilifatilia tuu..
Nakumbuka ni wewe mwenyewe ukisema hivo kipindi kile natumia ID nyingine