JamiiForums Usiku wa manane

Acha woga wewe hukumbuki sera zetu... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Panga mkononi roho beganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yakikukuta sasaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
panga begani roho mkononiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe wewe ndiye unamfundisha Wakuperuzi uhuni? Afisa una utovu wa nidhamu.

Ofisini bado hujafika.
 
E

Eeh ndio mkuuπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
Afande, taratibu unazifahamu barabara.
1. Umeacha lindo kwa Kuruta bila makabidhiano
2. Unaenda kutunga sentensi na hela huna
3. Unawafundisha kuruta kiburi na jeuri kinyume na miiko ya JF usiku wa Manane
4. Wito unaitikia kwa kujisikia

Kweli au si kweli?
 
Kweli mkuu...
Ila si makosa yangu, ni makosa labda ya kaziπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Kweli mkuu...
Ila si makosa yangu, ni makosa labda ya kaziπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
Unasemaje? Kazi tangu lini iwe na makosa?

Aya ingia ndani. Funga mlango uandike maelezo.

Marufuku mazoea na Makuruta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…