Sichelewi nn tena ππ€Ahaaa vizuri.. Maana hauchelewi πππ
Afu sasa ndo unatakiwa uamke uende kwenye majukumu[emoji23] inaboa...Ni kupambana tu, na kuelekea Alfajir baridi huwa linafika kwenye peak[emoji1787][emoji1787]
Lete stori angalau tusogeze masaa....nimeshakaribia mkuu
Tunawalaumu bure tu walinzi, na kibaridi hiki ukipata chocho la kupashia joto....unatelekeza Tu Lindoπ€£π€£ maelezo tutatoa asubuhi.Hapa ndo utaona umuhimu wa Morning glory ππππ
Bro hujalala kesho itakua ndefu kwako[emoji23]Sichelewi nn tena [emoji38][emoji848]
Walinzi wote ninaowajua wanavuta sigara[emoji23]Tunawalaumu bure tu walinzi, na kibaridi hiki ukipata chocho la kupashia joto....unatelekeza Tu Lindo[emoji1787][emoji1787] maelezo tutatoa asubuhi.
Mi ratiba zangu hazini ruhusu nilale usiku mkuu nalalaga saa 1 asb mpaka saa 7 πππ.Bro hujalala kesho itakua ndefu kwako[emoji23]
Na wakipata vimchepuko karibu na Lindo hawalazi damuπ€£π€£π€£.....utasikia Yule mlinzi hakaagi Lindo usiku kuchaaaπ€£Walinzi wote ninaowajua wanavuta sigara[emoji23]
Kila mtu skuizi ana mwanasheria[emoji23][emoji23]Mwanasheria wangu pia hayupo.. Hapa ninyamaze tuu[emoji3][emoji3]
Aisee we muhuni sana[emoji23]Mi ratiba zangu hazini ruhusu nilale usiku mkuu nalalaga saa 1 asb mpaka saa 7 [emoji16][emoji16][emoji16].
Si unajua sijaajiriwa mimi [emoji2][emoji2][emoji2]
Aisee[emoji23] si bora ufuge tu mbwa yaishe....Na wakipata vimchepuko karibu na Lindo hawalazi damu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].....utasikia Yule mlinzi hakaagi Lindo usiku kuchaaa[emoji1787]
π€£π€£π€£ Sa mbwa atakufungulia geti asubuhi na kukabidhi Lindo?Aisee[emoji23] si bora ufuge tu mbwa yaishe....
Unavojua kazi ya sigara tena mwiliniπππWalinzi wote ninaowajua wanavuta sigara[emoji23]
Mwizi akija na mlinzi yuko kwa mchepuko?? Si nakufa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sa mbwa atakufungulia geti asubuhi na kukabidhi Lindo?
Eehh maendeleo chilondaπππKila mtu skuizi ana mwanasheria[emoji23][emoji23]
Sigara, pombe kali ndo mambo yao...Unavojua kazi ya sigara tena mwilini[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kutoa siri za kambi mkuuπππSigara, pombe kali ndo mambo yao...
Wengi wanaingia kazini na mashuka kabisa ya kujifunikia[emoji23]
KuogaπSichelewi nn tena ππ€
Huezi jua labda kuna mlinzi humu huu ushauri ukamsaidia[emoji23]Acha kutoa siri za kambi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
π―π€«π€«π€«π€«π€«π€«Kuogaπ