dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,832
- 20,350
PoleHapana Mkuu, Ni leo tu imetokea
Kijana wangu ameamka muda huu joto limempanda, hapa nampa panadol kujaribu kulishusha. Naona Mama yake anauchapa tu usingizi [emoji42]
Ulale chiefHolaaaaaaaaa 😁😁😁😁
Yes kazi zangu ni za usiku mkuuu sijaajiriwa mimi 😁😁😁Midnight walker....Kuna faida gani ya kuwa hivyo au majukumu yako unayatimiza wa usiku tu?
Nilikuwa nataka nikapige tukio 😅Leo mapema😎
Miezi 19 Mkuu
Ushangaa stendi hee wewe vipi?? Best
kuna nini?Ushangaa stendi hee wewe vipi?? Best