Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,662
- 7,251
Ngoma ya watoto kweli haikeshi02:08 am.. good night folks [emoji120][emoji846]
Ngoma ya watoto kweli haikeshi02:08 am.. good night folks [emoji120][emoji846]
Ngoma ya watoto kweli haikeshi
Tatizo masela hatujui kupenda ila tunahudumia tu
Tunaishi na miili yao tu mkuu lakini mioyo yao ipo kwa watu wengine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanamke anatakiwa akupende… we muheshimu na kumhudumia tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
Daah😂😂😂😂Kuiba ngoma ya kijiji sio kazi.. kazi ni pakuipigia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
Yaani, dah 😂😂. Nahisi Sera zetu zitapotea😆😂.Bado tuu hujamwambia😂😂😂😂?? Intel unakwama wapi wewe
0:45
Happy sunday
💃💃Happy happy
[emoji126][emoji126]
Shukran 😊😊Happy sunday