JamiiForums Usiku wa manane
3:42

Daku time.

Sio Kawaida kuwa macho usiku lazima juna shida. Na mara nyingi ni stress... hembu tusheee yanayotubidi tupate experience ya maisha..
.siko macho usiku burebure nina mawazo Sana.

Mahusiano na wanafamilia, kukosa fedha, changamoto za kazin kwangu bas full shida
 
Uko macho au short break.
20230406_063241.jpg
 
Back
Top Bottom