Kazingua nini tena kameza pen au pensel ya risasi?Dogo kazingua imenibidi nimlete tu hospital. Kwahio Leo Mimi nakeshea hapa Kitengule Hospital Tegeta. Aliyeko karibu aje tuone Wagonjwa wakati dogo anasubiria matibabu
Yeah, ukifatilia misemo na maneno yangu mengi. Huwa yamebeba ujumbe au nukuu fulani. Poor Brain njoo uone hapaNo Malice huyu jamaa ni rapper pia ni ndugu yake na Pusha T rapper mmoja hivi wa America Wana kundi lao moja laitwa Clipse, huko New Yorko kwa mzee Biaiden
01:51
Come-on yo
Buhahaha yanabebaje mkuu ?Yeah, ukifatilia misemo na maneno yangu mengi. Huwa yamebeba ujumbe au nukuu fulani. Poor Brain njoo uone hapa
Nakuona mgoma kufa upo poaNaona lindo liko salama
Iam deeply Sorry mkuu, hope atapata nafuu au kupona mapema🙏🙏💪.Dogo kazingua imenibidi nimlete tu hospital. Kwahio Leo Mimi nakeshea hapa Kitengule Hospital Tegeta. Aliyeko karibu aje tuone Wagonjwa wakati dogo anasubiria matibabu
GARI zote zimepaki salama hakuna hata paka Nangu Nyau anaekatiza mitaa hiiNaona lindo liko salama
Upo ndani ya fensi 😂Ningekuja, sema nipo within boundaries
Walaa mkuu, sijaoaa afu hata demu sinaa. I'll ni safe mode tuUpo ndani ya fensi 😂
Dogo haujambiiiNakuona mgoma kufa upo poa
Dogo haujambiii
Umepigwa boundary fensi ya umeme hata kuruka ukuta huwezi maana switch ipo ON alafu mlango wamefunga,Walaa mkuu, sijaoaa afu hata demu sinaa. I'll ni safe mode tu
Aiseee anashindwa kupumua kabisa ana flu sio ya Dunia hiiKazingua nini tena kameza pen au pensel ya risasi?