JamiiForums Usiku wa manane

Salama; tunakuachia lindo , tumepangiwa kazi nyingine
Thubutu, niliamka kunywa maji miye.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hili lenu. Hamna wa kumbambikizia πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Kama umepangiwa kazi nyingine sawa; inabidi wote tulitelekeze lindo, haya mambo ya kuumwa na mbu hayana tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…