National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Niambie Intelligent businessman π πYa 3, tuna tumia jiwe linalo itwa Bantu Lady au Dahan, nikisaidiwa na mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo wa kimataifa Poor Brain, na chambo wa chama Cha wezi Analyse
HalloHello
Vp bro?Hallo
Kwema sister ππVp bro?
Mkuu madoja ni wengi siku tatu hizi[mention]Kanali G [/mention] pitisha lokoo
No Kuna ndoto imeniibua chap!Kwema sister ππ
Leo mkesha eeh!
Ndoto gani tena hiyo ππNo Kuna ndoto imeniibua chap!
Sababu ya mambo ya gulioni auGodoro limelowa maji
Kaota anakimbizwa na mazombiNdoto gani tena hiyo [emoji846][emoji846]
Ya kheri ?
Ikoje MkuuHali ya hewa ya mwanza leo ya hovyo kweli [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
No si njema,nilienda beach kuswim nimemaliza nikawa nakojoa kwenye maji nilijua kuwa Hakuna anaeniona ndo jamaa mmoja kanishtuaπNdoto gani tena hiyo ππ
Ya kheri ?
πππ Mkorofi weweKaota anakimbizwa na mazombi
04:02
Upo mwanza?Hali ya hewa ya mwanza leo ya hovyo kweli π€¨π€¨π€¨
Nipo mwanza hapa baridii πππUpo mwanza?
Kitandani pako salamaa kweli π€£π€£π€£No si njema,nilienda beach kuswim nimemaliza nikawa nakojoa kwenye maji nilijua kuwa Hakuna anaeniona ndo jamaa mmoja kanishtuaπ
Kuna kibridi flani hivi cha kustukiza, kina haribu mipango kweli kweliIkoje Mkuu