Pamoja sana mkuu Uchira 1 πSalam kwenu wakuu
Hasa
Dahan
Intelligent businessman
@mwachiluwi
Unique Flower
To yeye
Mzee wa kupambania
mjumbe wa bwana
Bantu Lady
Depal
Kanali G
Half american
Pastor A
Poor Brain
Niko hapa natafuta wa kumkabidhi lindo Analyse simuoni π€£π€£π€£Jamani hill lindo linafurahisha, maana guards on duty. Hawaonekani walipo Bantu Lady, Dahan, Poor Brain, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania mkoo wapiiiiiiπππ
To yeye umeamkaje mrembo?06:35
Polee hiyo hali huwa inatupata wengi. Wakati mwingine mimi huwa najiwekea lengo nahesabu mpaka 3 halafu najilazimisha kutoka kitandaniNaona uvivu kuamka....Leo nitachelewa sana job daah
Poa mida. Kazi njemaBaadae bas
Barikiwa sanaPoa mida. Kazi njema
Unalala sana wewe siku hizi kuwa makini usije kupoteza kibarua ππNipo hapa mkuu. Usalama upo usijali π π