JamiiForums Usiku wa manane

Nini Sasa ??, Mi ni kichaa wa movie na series. Nimeona nyingi mnoo kuanzia kichina kihindi,kizungu. Kilatini, aamerika kusini, Philippines mpaka afrika na telugu
Hivi mkuu... Ulali au πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€
Daaah yaani wee nakupa salout
Ndo nyie mchana unakua usiku ila wewe usiku mchana . Na mchana ni mchana tu
 
It'll be great.. Lakn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa lindo tutamwachilia nani? Maana kanali sio wa kumtegemea kabisaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au io dinner tuifanyie humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuibiwa ni sunna. Ila Kumbuka Sera zetu πŸ‘‰ Panga mkononi
πŸ‘‰ Roho begani
Dahan, Analyse, National Anthem, Bantu Lady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…