JamiiForums Usiku wa manane

Madam kuwa na utu BasiπŸ™πŸ™, unayajua maumivu ya kumpoteza unaye mpendaa.
Eh kipi nimefanya hakina utu hapo?πŸ˜”
Usiniulize swali ambalo majibu yake nayajua alaf..😒 Nimemwambia pole ni muda wake umefika au alitaka achukuliwe (akufe) yeye in that person place? Think critically alafu sema nimekosea wapi hapo Intel
 
Nisameheee Mimi, sikujua huyu ni lofa tu. I mean no malice to nobody πŸ™πŸ’ͺ Dahan
 
Wee unayesema mi ka boflo ndo ungelia ww tena kwa kwikwi
Izo ndo muvi zangu mieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚naliaaa weee hadi basiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kumbe wenzangu wako kuactπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…