Jd ndio good kwakoMimi nipe K vant zabibu wape Ke.
Mumeoa anakujuaKunijia mimi ni mgumu. Hata mimi sijielewi kama ni mpole ama mcharuko. Ila niko vile mtu anavyonijia π€£π€£π€£π€£π€£
Sina ungaa, so niijie Kama ulivyoniambia??Intelligent businessman leo utaki singeli kabisa
Basi nimekujia ukiwa kwenye ukorofi π€£ unatushauri tupige luangeKunijia mimi ni mgumu. Hata mimi sijielewi kama ni mpole ama mcharuko. Ila niko vile mtu anavyonijia π€£π€£π€£π€£π€£
Sina ungaa, so niijie Kama ulivyoniambia??
[emoji28][emoji28]Yeye mwenye kigwengo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28]
Imembidi anijue. Maana alikuwa akipata shida sana, hanielewi huyu vipi. Mwezi mchanga nini? ππππMumeoa anakujua
Lini mkuu, Mana utakuwa umeisaidia jamij fulaniπππNjoo ndio uchukue gunis moja
Tuingie studio mkuu ntakua manager wako02:35 Now it's time to do the big shots,
Hey haters, I had ya ready to do the blocks
They told me to go school, coz they felt I was just a failed lock
I did so, but still I was called an ultimatum fool
I decided to make it rain, now amma full speed than their sgr train
And no longer give a damn f.uck
Even if they complain
Coz I will always keep praying
And receive the bless, so hope I never forget to say amen
Mafian cartel
Vibwengo vinaatisha mkuuIla limemitoka tu [emoji23]
ππππππ leo niko normal hapo. Nikiwa kwa ukorofi, huwa nauliza humu nani anataka kugombana leo? π€£π€£π€£π€£Basi nimekujia ukiwa kwenye ukorofi π€£ unatushauri tupige luange
Mi mwizi wa kimataifa tu, Nina vijana wenzangu π Mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, na mwizi anayechipukia National Anthem πSera zetuTuingie studio mkuu ntakua manager wako
Umenikumbusha Boarding na vibwengo, walikuwa wanasema wanapita kwenye korido, tukiwa tumelala. Wanatukaba sitasahau.Vibwengo vinaatisha mkuu
Vipi tuliamshee zuwenaaaπ€ͺπ€ππππππ leo niko normal hapo. Nikiwa kwa ukorofi, huwa nauliza humu nani anataka kugombana leo? π€£π€£π€£π€£
Siku ukiwa kwenye hiyo hali nitag ninunue ugomviπ€£π€£ππππππ leo niko normal hapo. Nikiwa kwa ukorofi, huwa nauliza humu nani anataka kugombana leo? π€£π€£π€£π€£
Sitaki ugomvi leo. Niko Kwaresma mimi. Nimeshakuwa Zuwena tena π₯π₯π₯π₯ kale kembemba hata hatufananiVipi tuliamshee zuwenaaaπ€ͺπ€
Dah shule mambo ya kutishana kuna siku waliingia bundi wawili bwenini saa kumi usiku dah tulitafutana [emoji28][emoji28]Umenikumbusha Boarding na vibwengo, walikuwa wanasema wanapita kwenye korido, tukiwa tumelala. Wanatukaba sitasahau.