JamiiForums Usiku wa manane

Na wewe jana mwizi wa kimataifa sijakuona ulienda kupiga tukio nini? Niliwaona Mwachiluwi na Dahan sijui nini kilikuwa kinaendelea kati yao saa 9 usiku wanachat wanacheka wanasema zabibu zinaongeza nyege πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Aisee Dahan, Bantu Lady, Mwachiluwi na National Anthem Mbona hamjaniambia Kama zabibu zinaongeza nyegee.
Maana huwa ninazila Sana, ndo Mana ....🀬🀬
Asante Mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania kwa kunipa Siri hii nzito sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…