JamiiForums Usiku wa manane
Atasijui ni vipi vipiii labda ile kesi ya KK maanaalikuja kutoa machozi mda si wake ha ha haaa

Huyu Nleterewa Nganengo usituzuge kwa maana mnajua vema tuambie tu umemuacha wapi?
Ile kesi nilitamani sana ningekuwepo ili niisimamie....kweli ana bahati. Ila nimeamini Kichwa Kichafu ni gentleman maana sio kwa utetezi ule,alimbembeleza jje's mpaka nikaona gere.
 
Ati nini?
Njoo twende zetu,ila shurti ujue kulima haswa. Maana nimeamua kugeukia sera ya mwalimu ya siasa ni kilimo,
Ha ha haaa basi mna mikwaraaaa kama vile mpo sayari ingine ha ha haaa

Mimi ntalima haswaaa kadri ya utakavyo ni shawishi naamini twalima wote
 
Back
Top Bottom