Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,197
- 1,429
Huna kwa sas, lakin kesho waweza kua nae, be prepared kwa loloteSina mtu kwaio siwezi gundua chochote hapoπππ ni ukakasi tuu
Pulizioo bi manee DahanKukuhonga wewe nitaweza kweliπππ mbona unaanza kunishindaaaπ π
U kunikanaling o laivu DahanSina mtu kwaio siwezi gundua chochote hapoπππ ni ukakasi tuu
Anakutania tu, Dahan ashaolewa na Intelligent businessmanHuna kwa sas, lakin kesho waweza kua nae, be prepared kwa lolote
π€£ kumbe ni experiencedAnakutania tu, Dahan ashaolewa na Intelligent businessman
Ndo mnavyo jiteteaπππππ€£π€£mwanaume ni nguzo ya familia, mwanamke kiumbe dhaifu, akipata mchongo anaenda mazima lakin baba hukumbatia vyote , atasimama na familia pia mchepuki utahudumiwa pasipo kuathiri
Team kataa ndoaπππAnakutania tu, Dahan ashaolewa na Intelligent businessman
π€£π€£π€£ tulia nae bwana, akipata zari ndo umetoboa ivoAkuu sitaki..usiniharibie kabisaa maana Nawewe jobless ukipata zali huko la kaz ya 2m itakuaje? ππ
Mi iz kibakaling tu, wi take mane. Jioni wi zagamulianaling DahanAkuu sitaki..usiniharibie kabisaa maana Nawewe jobless ukipata zali huko la kaz ya 2m itakuaje? ππ
Asante bro kwa ushauri, Nina imani Dahan atauzingatiaa.maana nikija kuwa tajiri Kama mengi asinilaumu kwa kumpuuziaπ€£π€£π€£ tulia nae bwana, akipata zari ndo umetoboa ivo
Wee subiri utapata vyoote unavovitafuta.. Swala la muda 2..ππππ€£π€£mwanaume ni nguzo ya familia, mwanamke kiumbe dhaifu, akipata mchongo anaenda mazima lakin baba hukumbatia vyote , atasimama na familia pia mchepuki utahudumiwa pasipo kuathiri
Pulizioo my hati is kwenda mubioo DahanTeam kataa ndoaπππ
Apo ndo stage hua tunachukua kombe letu mbe ya adui almarufu kama 50 kwa 50 au haki sawaWee subiri utapata vyoote unavovitafuta.. Swala la muda 2..πππ
Wanaume wengi tu mmebarikiwa kwenye swala la kugawanisha upendo.. Yaan unaweza kuwa na mchepuko na bado ukampenda mkeo.. πππ
Wanawake tukihama tunahama mazima mambo ya kugawa upendo wengi wetu haiwezekan.. Ukiona mchepuko anapendwa ujue upendo kwa mume umeishaa kwa asilimia kubwa.. π
Tilasti mii, I am single toka nimezaliwaWeee nani akubali unichimbe saevi hunaa na badae ukipata pia uchimbe mwingineππππ
Yajayo yatafurahisha... πππUsisahau kutuletea feedbackApo ndo stage hua tunachukua kombe letu mbe ya adui almarufu kama 50 kwa 50 au haki sawa
Eeh hutaki shobo umetukuta sio.. ππππTilasti mii, I am single toka nimezaliwa
Tilasti mii, iam singoo toka nimezaliwa DahanWeee nani akubali unichimbe saevi hunaa na badae ukipata pia uchimbe mwingineππππ
π€£π€£ ili tutumie pamoja mavunoYajayo yatafurahisha... πππUsisahau kutuletea feedback