Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,599
Endelea kuparamia mizimu broo, hujui kama watu tumewekeza kitamboo
hakika una huruma sana ๐Kimoja anacho Mwachiluwi kingine Intelligent businessman ndo yupo kukishikilia๐๐๐๐ sijui itakuaje๐
Sijawahi ndio nini?Kijana ushawai sikia kitu inaitwa masacreee
Ongezea apo hogo๐๐๐๐Kijana ushawai sikia kitu inaitwa masacreee
We Half american , mi nampeaga Dahan hogo masacreee + nafunga double engineOngezea apo hogo๐๐๐๐
Ukimpenda wewe haituzuii kumpenda DahanWe Half american , mi nampeaga Dahan hogo masacreee + nafunga double engine
Dahan naona kijana anaulizia jeneza, kwenye site ya makaburihakika una huruma sana ๐
Sijawahi ndio nini?
Hadi umuelekeze cha kufanya? ๐คฃ pole unaibiwaDahan hebu njoo umthibitishie ili ajue si Wala hatuogopi challenge
Dahan mamsap do you fancy me??Hadi umuelekeze cha kufanya? ๐คฃ pole unaibiwa
Hiyo sio kitu ya kuuliza mzee baba ๐ hawaulizwagiDahan mamsap do you fancy me??
Shemeji, mumeo chizi Maarifa hajambo??02:50
Nishakaribia mamii, endelea kuwapa heads up vijana walinde kikamilifu kwa ukamilifu zaidi.Karibu mkuu... ๐๐ Tulikua break time kidogo
Sanaa sikuhiz To yeye yupo penzini amenogewa na Bantu Lady anawai mnooo kuaga lindo.. ๐๐๐Mi nimewamiss marafiki zangu wa ukweli To yeye na Bantu Lady maana wamekuwa wavivu kufika lindoni now days ๐