Tiariii.. ๐๐Tuko april 14Ila niny ivi sikukuu ya wajinga ishapita au bado?
Kumbe ni mambo yake haya?[emoji1]Hajamjua intelligent bado[emoji23][emoji23][emoji23]
Weee mwache tuuu..Tutamsaidia shauri yake
Sisi wazima mkuu..Salam kwenu wakuu
03:52
NEw shiftSisi wazima mkuu..
Karibuu....NEw shift
Shukran sana mkuuKaribuu....
Bado wachachee.. Dawa imeishaa๐Shukran sana mkuu
Vip wagonjwa washapata sindano woteee. Maana leo nipo kitengo sindano
AHaaa basi mbaya nitawachoma hata maji kidogonwajisikie wamepata dawa.Bado wachachee.. Dawa imeishaa๐
Placebo๐๐ Sio mbayaaa maana wasipopata watasumbua sanaa mkuu๐AHaaa basi mbaya nitawachoma hata maji kidogonwajisikie wamepata dawa.
Umenena vyema. Basi we nachie hili jukumu nimalizie. We angalia mahala upumzike ungoje wale wateja wako wa mia miaPlacebo๐๐ Sio mbayaaa maana wasipopata watasumbua sanaa mkuu๐
Karibu4:01
Haina shida io๐๐Umenena vyema. Basi we nachie hili jukumu nimalizie. We angalia mahala upumzike ungoje wale wateja wako wa mia mia
Hadi kielewekeeโUmenena vyema. Basi we nachie hili jukumu nimalizie. We angalia mahala upumzike ungoje wale wateja wako wa mia mia
basi ngoja nitembeze sindano kwa hawa wagonjwa Mr kenice Half american Aganza Maisha ila yule mgonjwa alokuwa anasumbuliwa na maleria sugu sijui katoka ka sijakosea anaitwa Unique FlowerHaina shida io๐๐
Anaendelea vizuri๐๐basi ngoja nitembeze aindano kwa hawa wagonjwa Mr kenice Half american Aganza Maisha ila yule mgonjwa alokuwa anasumbuliwa na maleria sugu sijui katoka ka sijakosea anaitwa Unique Flower