Pale kiwanja cha nyumbani nikienda ni pombe na malayaAta ww pale juliana unajulikana sana mwaga mapesa leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah! Jamaa haulalagi wewe 😅Taratibu we mzee, utapigwa beto la shingo
Ndo maisha yetu, nilale afu wanga wanirogeDaah! Jamaa haulalagi wewe 😅
Kisa, umeandikaa imefutwa au??Nimezuiliwa kupost thread
Nilipewa ban hukuonaKisa, umeandikaa imefutwa au??
Haikuonyesha ??Nilipewa ban hukuona
Skuiz uvivu mwng,.Kumekucha wananzengo,tusogee lindoni 23:57
Duuu kweli ww kidogo uko shift Nini?Jana na leo
Watu wanatumika sana 00:10Skuiz uvivu mwng,.
LINDO lmepoa
Umetisha