JamiiForums Usiku wa manane

Ni mdogo? Chukua maji ya uvuguvugu, na kitambaa safi. Uwe unamsponji kuanzia kichwani na sehemu zile unaona kuna joto sana.
Poleni sana, hakikisha maji yawe ma uvuguvugu, yasiwe ya baridi.
Je kwenda hospitali hamuwezi?
Panadol imesaidia kias
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…