Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,798
- 6,373
02:0701:31 reporting
02:0701:31 reporting
Tuko pamoja 03:03 😂
Leo ninapiga kazi za chuo (4)asee nawachomoa wote mpaka majogooo 🤣🤣🤣🤣
Nipo kukupa kampani mkuu 03:41 nimekosa usingizi tuu yaani
Leo ninapiga kazi za chuo (4)asee nawachomoa wote mpaka majogooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kalale huko
Wapi wwTuko pamoja 03:03 😂
Malizia assignment hizo kesho usipeleke habari za flash imeliwa na virus au kazi imefutika stationary ila nilifanya na ilikuwepo Sir..... bado nakupa kampani @04:15Kalale huko
Bado upo ww 😹😑Malizia assignment hizo kesho usipeleke habari za flash imeliwa na virus au kazi imefutika stationary ila nilifanya na ilikuwepo Sir..... bado nakupa kampani @04:15
Sent using Jamii Forums mobile app
05:05 bado nipo lindo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado upo ww [emoji81][emoji58]
Yeah,hatimaye04:48
Kumekuchaaaaaaaaaa
😳Ujinga tu
Sawa,vip afya yako?05:17 hope mmeaka poa wote,ambao bado tambueni kumekucha.Amkeni!!!!