JamiiForums Usiku wa manane

Aisee, usipange kabisa, mambo yanaweza badilika. Ukajikuta unakaa tu home 🀣🀣🀣🀣🀣
hili halina ugumu, toka jana aliniomba ruhusa kesho aende saloon then kuna rafiki yake kajifungua, huo mda wote mie nitakuwa home tuu.. akifika nampanga ajiandae awahi kanisani na mie anajua kesho na kikaoo.. kesho ni free kabisa nikirudi saa 11 homa haina mbaya na hawezi leta noma maana tushasomea kufuta ushahidi na alama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Usifanye maisha kama kitabu cha kusoma tukariri mistari, jipongeze kwa vitu jipende mzee acha kuona dona ndiyo ugumu uganster tunaishi kufurahia
Bro ukisikia nchi ya wabahiri, Basi Mimi ndo nchi yenyewe coz raisi atapita ila nchi itabaki

Kama tu kuspend elfu 10 roho inaniuma vipi hayo ma luxury mengine si ntachanganyikiwa
 
Hatariiiiii wanaume πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» nikiona mwenzangu anadanganywa hivi, nahisi namimi ndiyo yaleyale.
 
Hatariiiiii wanaume πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» nikiona mwenzangu anadanganywa hivi, nahisi namimi ndiyo yaleyale.
πŸ˜€πŸ˜€ usichunguze sana bata hutomla... kikubwa ni mwanaume kusimama nafasi yake 100% na wewe kusimama yako.. mengine una assume hayapo
 
😁😁😁 rudia rudia hadi likuingie, ila usema kweli natokaga ila sijawai mcheat wife wangu.. nabweka tu, maisha haya yalikuwa story tu.. ila now days hamna kitu πŸ˜€πŸ˜€
Hiyo poa, kama humcheat hongera. Hiyo ya kutoka tu out ni nzuri pia kwa afya ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…