Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,674
- 2,216
Usingizi gani huu watu tukiamka tunasimama Dede ujue!!Na yeye baridi limempa usingizi. 05:00 good morning
Usingizi gani huu watu tukiamka tunasimama Dede ujue!!Na yeye baridi limempa usingizi. 05:00 good morning
Hahahaha dede la hatari mpaka macho yanakuwa mekundu kama mwanga, cha muhimu fanya ibada hahahaUsingizi gani huu watu tukiamka tunasimama Dede ujue!!
Hapa Ibada lazima ifanyike Ataamka mwenyeweeHahahaha dede la hatari mpaka macho yanakuwa mekundu kama mwanga, cha muhimu fanya ibada hahaha
Hahaha chizi weweHapa Ibada lazima ifanyike Ataamka mwenyewee
Hama huko uliko usije ukaganda bure!Usingizi umegoma aiseeee kwa baridi, natetemeka Hadi utumbo
Na kibardi hiki unafaidi0429,kumekucha...Cha Asubuhi.
Kwa mara ya kwanza nimepata usingiziHama huko uliko usije ukaganda bure!
Kwa mara ya kwanza nimepata usingizi