black short
JF-Expert Member
- Nov 16, 2019
- 519
- 978
Huku ni miaka sijatia tim
Wasalamu wandugu. MUNGU atujaalie tuuvuke salama mwaka huu

Pole bossNiaje kipande hiyo wakuu Leo
Npo macho kuna deal langu LA pesa kama 920k jamaa yangu kanizunguka hata ucngizi nimeukosa
Hatuwezi lala lindoni mkuu!Walinzi mmelala?
