JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu nimechakazwa na kanjibai pigwa vibaya mno,npo zangu narudi home kufika keko nmekutana na sungusungu wananiita mi msomali hamza wamenitia pingu na wao wakakomba kila kitu mbwa hawa[emoji23][emoji23][emoji23]npo sasahivi natangatanga tu.
 
[emoji2]mkeka umebuma.Hao mmbwa wamekuhurumia sana ,hapo ukifika home unakuta kufuli limevunjwa pia. Jipange tu kiongozi
 
Mkuu nimechakazwa na kanjibai pigwa vibaya mno,npo zangu narudi home kufika keko nmekutana na sungusungu wananiita mi msomali hamza wamenitia pingu na wao wakakomba kila kitu mbwa hawa[emoji23][emoji23][emoji23]npo sasahivi natangatanga tu.
Ungewapa na simu tu ,maana unatupigia kelele tuliolala
 
Mim hapa nina mpango nianze kukunja nguo zangu taratibu...Hadi asubui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…