LINDO liko salama; Walinzi ni wachacheWana lindo niaje
Karibu Mlinzi mtoro. Leo tafadhali sogeza japo masaa2Humu sijapita miaka sijui mingapi
Kwema humu?
Hahaaa itafaa tusindikizwe na kahawa ili lindo libaki salamaKaribu Mlinzi mtoro. Leo tafadhali sogeza japo masaa2
Uko wapi niguagizie GahawaHahaaa itafaa tusindikizwe na kahawa ili lindo libaki salama