Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,439
Yaache yachart yenyeweNachart na classmates kwenye group hayalali
Yaache yachart yenyeweNachart na classmates kwenye group hayalali
Kuwaacha unaona nn, or ndo umejoin leòNachart na classmates kwenye group hayalali
Kuwaacha unaona nn, or ndo umejoin leò
01:27 kikao kimfungwa mpaka kesho kunako majaaliwa mungu awalinde members wote single &double muamke xalama kwaherinYaache yachart yenyewe
Kiafya inatakiwa ulale masaa naneKulala huwa naona uvivu sana,bora nilale saa tisa niamke saa 12 asubuhi angalau nakuwa sijalala sana..
Kwa kweli nilishashindwa kulala masaa yote hayo..labda niwe nimelewa sana..Kiafya inatakiwa ulale masaa nane
Mkuu umeamua kutukimbia..01:27 kikao kimfungwa mpaka kesho kunako majaaliwa mungu awalinde members wote single &double muamke xalama kwaherin
Punguza stressKwa kweli nilishashindwa kulala masaa yote hayo..labda niwe nimelewa sana..
Hata mm sikumbuki mara ya mwisho kulala hayo masaa ni lini!Kwa kweli nilishashindwa kulala masaa yote hayo..labda niwe nimelewa sana..
Ukienda ugenini wanaweza kukuhisi vibaya..Hata mm sikumbuki mara ya mwisho kulala hayo masaa ni lini!
🙏🙏🙏01:27 kikao kimfungwa mpaka kesho kunako majaaliwa mungu awalinde members wote single &double muamke xalama kwaherin
Me bamdogo wangu ashantimua kwake sababu nachelewa kulalaUkienda ugenini wanaweza kukuhisi vibaya..
Ni vema kufikia lodge tu kuepusha maneno..Me bamdogo wangu ashantimua kwake sababu nachelewa kulala
Nlienda kumsalimia n mda kidogo,Ni vema kufikia lodge tu kuepusha maneno..