financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,206
- 43,602
Ahsante kwa wimbo wa faraja! Ubarikiwe
Amen. Asante kwa kuwa macho..Ahsante kwa wimbo wa faraja! Ubarikiwe
Ngoja nikuletee birika kabisaNimeingia lindoni mwenye kahawa anisaidie
Naona sina usingizi kabisa leoπ€Amen. Asante kwa kuwa macho..
Naona sina usingizi kabisa leoπ€
Umekunywa Pepsi usiku π€£Naona sina usingizi kabisa leoπ€
Wala hata sijui tu imekuaje leoπUmekunywa Pepsi usiku π€£
Itakua ulilala jioni...Wala hata sijui tu imekuaje leo[emoji3]
Aaah okay.......Wala hata sijui tu imekuaje leoπ
Huenda kesho ukapata mahela mengi ππWala hata sijui tu imekuaje leoπ
Afu kweli ila nililala kidogo sana sijui nusu saa ileπ€ inaweza kuwa sababu hii?Itakua ulilala jioni...
Amen napokeaa na ikawe hivo maana nilivofuliaππ ila nawaza napata from nowhere tu? MmhπHuenda kesho ukapata mahela mengi ππ
Hata Hajiri, alipokuwa jangwani, alikata tamaa ya kuishi na kumuweka mtoto kwenye kijiti, ili amtazame anavyo kufa kwa kukosa maji. Ila Mungu aliyafumbua macho na kuona chemu chemu ya maji jangwani.. Kwa Mungu yote yawezeka.. kwasababu Pesa na dhahabu ni mali ya Bwana, na vitu vyote alivyoumba πππAmen napokeaa na ikawe hivo maana nilivofuliaππ ila nawaza napata from nowhere tu? Mmhπ
Huenda kesho ukapata mahela mengi ππ
Mi nitakopa ukipata kama utabiri unavyoonyeshaAmen napokeaa na ikawe hivo maana nilivofuliaππ ila nawaza napata from nowhere tu? Mmhπ
Ngoja tumpime imani financial servicesHata Hajiri, alipokuwa jangwani, alikata tamaa ya kuishi na kumuweka mtoto kwenye kijiti, ili amtazame anavyo kufa kwa kukosa maji. Ila Mungu aliyafumbua macho na kuona chemu chemu ya maji jangwani.. Kwa Mungu yote yawezeka.. kwasababu Pesa na dhahabu ni mali ya Bwana, na vitu vyote alivyoumba πππ
Neno linasema mwenye haki wangu ataishi kwa imani ππNgoja tumpime imani financial services
Amen, hakikaNeno linasema mwenye haki wangu ataishi kwa imani ππ
Shukrani mkuu tunakesha na majonzi yetuNgoja nikuletee birika kabisa