herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,982
- 3,248
😂😂😂Yuko Kenya anakagua mahindi
😂😂😂Yuko Kenya anakagua mahindi
Wana simba wote Hongera kwa kuongeza pont moja kwenye mbio zenu za ligi ya mabingwa barani humu.
Mrembo Sabalkheri0000
7.03.2021
Tunafungua lindo
Mkuu kwema0002
07.03.2021.
Amani Iwe Nanyi Nyote.
Na imani ni wazima.
Hahaha popote ulipo unaona aliyepo sehemu nyingine anapata kuliko wewe na chochote ulichonacho unaona hakitoshi. This is how God created us
Usijari mkuu, nipo zamu kudumisha ulinzi lango la kusiniEndeeleni kuweka ulinzi.
nitarudi baadaye
Bona umesaliti lindo mapema sana mrembo?0000
7.03.2021
Tunafungua lindo
Draw ya warabu wa Misti na wacongo imetuweka mahali pazuri sana. Sasa nyumbani ni mwendo wa kutembeza kichapo tu🍾🥂🤸