ndukulusudicho
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 502
- 777
Nipo naunda mtu
Mkuu nimerudi nipe kirungu nianze kaziWatu walijitoa ufahamu ila muda wa lindo ni kuanzia 0000.
Aisee[emoji23][emoji23]Nipo nagalagala tu kitandani cjui nitoe nguo chafu nifue?
Tuko wote kiongozi usiogope lindo liko salamaJamani mbona niko tu mwenyewe hapa hamjanipa tochi wala silaha!!!?
Ulale salama...02:13 off[emoji42]
Leteni hoja tuzijadili
Uwe na siku njema onlyalvira0557
Muda wa kufunga lindo