Umeangukia pua kwenye kutia nia, umerudi kwenye ajira yako ya ulinzi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]La hasha, nilijifanya mganga nikawapiga watia nia kadhaa... sasa mambo si yakawa kinyume!
Na haliwezi kutuzidi uwezoBaridi inatutafuna, kwani ukituzidi uwezo tutakosa mbadala kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuaminia vilivyo, nikiwa nawe lindo siogopi hata mbu, malaria itanipita tu,Na haliwezi kutuzidi uwezo
😂😂😂😂Nakuaminia vilivyo, nikiwa nawe lindo siogopi hata mbu, malaria itanipita tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Same to you00:00
Happy furahidei wajumbe
Pale usingizi unapokuzidi uwezo, nimeanza kulewa bila kunywa pombe, usingiz unalevya madawa ya kulevya yanasubiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀Pale usingizi unapokuzidi uwezo, nimeanza kulewa bila kunywa pombe, usingiz unalevya madawa ya kulevya yanasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
aah..wapiSio mbaya as long as hakuna taarifa mbaya ya kuuguliwa wala lindo kuibiwa. Uko powa lakini?
Mambo mremboaah..wapi