Maamizi yafuate katiba yako na sio maamuzj ya mtu mmoja, huo ni ubakaji wa demokrasia ndani ya chamaHapo kwenye kamati ya maadili ndio kuna vichekesho vya hatari! Sisi washabiki ngoja tuvute ukwaju na popcorn tayari kabisa kwa muvi pendwa! Ila tatizo staring anaweza kuamua akabadili script na tukio zima likabarikiwa kwa majina laini laini na maisha yakaendelea! Wajumbeeeee..................
Mjomba kwani hiyo katiba unayozungumzia ni ya Kenya au ya yule mzee wetu aliekula kelbu toka kwa kaka wa taifa (jobless)!?Maamizi yafuate katiba yako na sio maamuzj ya mtu mmoja, huo ni ubakaji wa demokrasia ndani ya chama
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wajumbe ni hatari sana kwa afya, wameota vitambi kwa mchakato wa wiki moja tu!Wajumbe ni umbwa....
Bwahahahaha!Wajumbe ni umbwa....
Hahaha kwanini yule amepewa hadhi ya kuwa kaka wa taifa?Mjomba kwani hiyo katiba unayozungumzia ni ya Kenya au ya yule mzee wetu aliekula kelbu toka kwa kaka wa taifa (jobless)!?
Kwani huna taarifa mjomba, alijipa mwenyewe, yaani hakukuwa na RC wa kukohoa mbele yake, alikuwa kama makamu wa rais kitengo maalum cha kujipendekeza na kusifu! Ila sasa hivi anabembeleza kazi ya ulinzi nahisi atakuwa ameshaonja joto ya kukosa ajira, tupo nae huku kwenye foleni sasa hivi hana escort tena!Hahaha kwanini yule amepewa hadhi ya taifa?
(wacha nicheke mie)
Karibu mjumbe mkongweWajumbe nawasalimia😃😃😃
0350
Wasaidie tuu hao hawana shamba wala kazi ya kuweza kuwalisha02:54
Aliyenitumia hawa mbu Leo kaniweza
Tupo pamoja mjumbeKaribu mjumbe mkongwe
Hawana shukrani hawa aiseeee. Hawashibi! Niko ON nakimbizana nao tuWasaidie tuu hao hawana shamba wala kazi ya kuweza kuwalisha
Hahaha
Nimemuona juzi wakati anakabidhi ofisi akajidai kujitingisha kidogo eti alikuwa anamlinda fulani na anaomba kama atapewa tena nafasi ataendelea kudumisha ulinzi kwa hali yake yooote.Kwani huna taarifa mjomba, alijipa mwenyewe, yaani hakukuwa na RC wa kukohoa mbele yake, alikuwa kama makamu wa rais kitengo maalum cha kujipendekeza na kusifu! Ila sasa hivi anabembeleza kazi ya ulinzi nahisi atakuwa ameshaonja joto ya kukosa ajira, tupo nae huku kwenye foleni sasa hivi hana escort tena!
Waache wale wakishiba hawatakusubua tena wataondoka wenyeweHawana shukrani hawa aiseeee. Hawashibi! Niko ON nakimbizana nao tu
Mwacheni Pauli jamaniii hahahaaaNimemuona juzi wakati anakabidhi ofisi akajidai kujitingisha kidogo eti alikuwa anamlinda fulani na anaomba kama atapewa tena nafasi ataendelea kudumisha ulinzi kwa hali yake yooote.
Nilicheeeka
Tangu saa sita wanaitana tu aiseeeee. Nimeshindwa kulala kabisaWaache wale wakishiba hawatakusubua tena wataondoka wenyewe
Nasikia nae kapewa nafasi ya ujumbe, mkaribishe mamii.....Mwacheni Pauli jamaniii hahahaaa
Watakua hawajakuona siku nyingi haoTangu saa sita wanaitana tu aiseeeee. Nimeshindwa kulala kabisa
Hahaha wanataka leo ulitumikie lindo vizuri bila kusinzia.Tangu saa sita wanaitana tu aiseeeee. Nimeshindwa kulala kabisa
Hahahaha ila wanakera sana sanaHahaha wanataka leo ulitumikie lindo vizuri bila kusinzia.
Safi sana vichombezo hivyo...