Halafu buti zimechakaa sana watupe buti nyingineIngia na viatu vyako afande
Nikikua mkubwa kama ww![]()
Akadeki vyooAnafaa apate adhabu
Linaitwa Lindo dumeTuacheni masikhara, lindo la jinsia moja ni ubatili mtupu.
Sasa hao warembo bundle kama hawana tunafanyaje? Tuchangishane basi tuwawekee kiroho safi mm ndio nitakuwa nakusanya hizo helaTuacheni masikhara, lindo la jinsia moja ni ubatili mtupu.

Sawa sawa nenda katumikie adhabu kuleNilikuwa na jukumu mahsusi![]()
Hilo wazo zuri sana. Buti toka mwaka juzi.Halafu buti zimechakaa sana watupe buti nyingine
Nimenyoa sikuhizi nimekuwa mwanafunziHuo uchebe sio wa mtoto wa kuyaongea maneno hayo![]()

Akapige simu chooni kusalimia family homeAkadeki vyoo
Ngoja nikawastue whattsap.. vumilia kidogoHebu fanyeni hima kualika wenzetu upande pendwa![]()
Ahhh wapiNimenyoa sikuhizi nimekuwa mwanafunzi![]()
Sawa sawa nenda katumikie adhabu kule
Dogo waluguru na kukusanya michango ni lini mmeanza hiyo tabia?Sasa hao warembo bundle kama hawana tunafanyaje? Tuchangishane basi tuwawekee kiroho safi mm ndio nitakuwa nakusanya hizo hela![]()
Acha naonekana kama kijana wa miaka 17 vileAhhh wapi

Kwahiyo siaminiki sio?Dogo waluguru na kukusanya michango ni lini mmeanza hiyo tabia?

