MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,882
Bwahaha! Mimi hapa nasingiziwa tu, leo nimeamka niko na mood ya kusikiliza mziki sana hivyo nikawa naweka mangoma tu. Totoz za JF na mimi wapi na wapi braza ?We jamaa nikikuonaga pande hizi tu najua upo kwenye mawindo!!! Yaani Kataskopos wewe uache kusherehekea taifa kuingia uchumi wa kati wewe?!
Si bure!!!
[emoji1787] Nikiachika itabidi unioe wewe.Ni suala la muda tu [emoji28][emoji28]
Ngoja nianzishe kampeni uachike[emoji1787] Nikiachika itabidi unioe wewe.
Sawa mkuu piga nyungu sana [emoji28]Ngoja nianzishe kampeni uachike
Aise mbona hii neema😅😂[emoji1787] Nikiachika itabidi unioe wewe.
Nyungu tena wakati wiki tayari ilishapita tangia nipone coronaSawa mkuu piga nyungu sana [emoji28]
Unasepa mapema sana, mbona umekua mkimbiaji hivyo11:03
Nilikuwepo.
Usingizi umenizidi.Unasepa mapema sana, mbona umekua mkimbiaji hivyo
Aya ulale salama, salimia familia hukoUsingizi umenizidi.
Ahsante SanaAya ulale salama, salimia familia huko
Pouwa, hapa nawasha moto, kuni zimekolea balaaAhsante Sana
Nawe Linda vyema..zimefika
Salimia na wa huko.
ShikamooAhsante Sana
Nawe Linda vyema..zimefika
Salimia na wa huko.
Wasalimie kaka!Kuelekea Msata