JamiiForums Usiku wa manane

Kutokana hitilafu ya baridi na mwonekano wa gizagiza litokanalo na mawingu,muda wa lindo umeongezwa hadi jua litakapo angaza [emoji3060]
Mimi hadi mda huu nimejifunika shuka.
Hata pazia sijasogezq na kufungua madirisha.
Ninachati gubigubi ndani ya shuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…