Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,425
- 100,688
Haha hili bango nimelielewa π πHappy birthday @supervillain
Ahsante kwa kuja katika maisha yangu
Ahsante kwa kujali
Wanifahamu zaidi ya ninavyojifahamu
Ahsante kwa kuwa pale ninapohitaji mtu wa kuongea nae ya moyoni kabisa
Ahsante kwa kunipa furaha
Nataka uifurahie siku yako.. zaidi ya unavyohakikisha yna2 niwe na furaha.
Wewe Ni muhimu na Bora Sana kwangu.
Ahsante kwa kunielewa na uchizi wangu..Kuna muda najua nakukeraππ ila ndiyo Basi tena Mimi ndiyo rafikiyo na shida yako..unipeleke kwa Nani thatha!!??
Yesu wetu akutunze mpendwa.. Nakupenda Sana ssssss akeeee..
God bless you.ππ
Uache matani yako ya kuniambia Nina kisauti Kama Cha mtoto.. nimeanza tiz next time nakubonda
Cheers πΌπΌπΌπΌπΌ
Naelekea uzee sasa dah [emoji17]
πππππthanks so much [emoji7] bado unaugomvi tu na sauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nasubiri kula keki hapa[emoji23][emoji23][emoji23] wekeni na miamala basi!
ππHaha hili bango nimelielewa π π
Happy birthday @supervillain
Thanks fam [emoji109]
Nimeshamwita ajibu mashtaka yanayomkabili[emoji3]Mpendwa Saint Anne mtuhumiwa Super Villain keshafika eneo la tukio. Njoo umswalike
Sent using Jamii Forums mobile app
Location ya cake pleasethanks so much [emoji7] bado unaugomvi tu na sauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa suti sasa na ule umbilikimo wa kupanda milima ya uluguruJambazi haez kuwa mr romantic Super Villain [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah sio kweli eti tena weekend hii embu chezesha basi eeh.[emoji23][emoji23] ahhh wewe. Muamala ukautendee dhambi gani
Haaa kumbe kuna lingine πππππ
Sawa nipe dk5
Results ni + na -What are findings?
Hiii [emoji17] haijaisha tu?
Si mbayaIna maana ulipanga kumuwish Super Villain happy birthday [emoji4][emoji4]. Nimeharibu mipango
Ulichonifanyia sio kitendo kizuri cha kunipoteza humu lindoniAaah mm huyo tena [emoji15]