Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Embu fanya ule muamala basi [emoji12][emoji12][emoji12] thanks fam [emoji109]Happy Borndate to my jf brother nnaemkubali sana. My Private "Fortune teller" [emoji23][emoji23]. More years nd blessings to you kaka Super Villain
Uzuri ni kwamba sasa hivi umeshakumbuka,😂😂😂😂😂
Uwiiii nilishasahau eti
[emoji23][emoji23][emoji23] wekeni na miamala basi!Umeniwahi
Happy birthday to him
Kijana HBD ila upunguze wengeNipo hapa Minneapolis nawawakilisha kwenye maandamano hapa mpaka kielewe nakuambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2517]Karantini. - wcb [emoji445][emoji445][emoji445]
Thanks fam [emoji109]Ahhhh like seriousssss leo ni siku ya kuzaliwa? Ey champ ohhh happy born day amigo, tupo pamoja champion ishi maisha marefu[emoji1635] Super Villain
Thanks champ [emoji109]
😂😂😂😂Uzuri ni kwamba sasa hivi umeshakumbuka,
Wezesha basi mpango
Embu fanya ule muamala basi [emoji12][emoji12][emoji12] thanks fam [emoji109]
Kesi yako iko palepale. Ukikuwa tu unaendelea nayoThanks champ [emoji109]
thanks so much [emoji7] bado unaugomvi tu na sauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Happy birthday @supervillain
Ahsante kwa kuja katika maisha yangu
Ahsante kwa kujali
Wanifahamu zaidi ya ninavyojifahamu
Ahsante kwa kuwa pale ninapohitaji mtu wa kuongea nae ya moyoni kabisa
Ahsante kwa kunipa furaha
Nataka uifurahie siku yako.. zaidi ya unavyohakikisha yna2 niwe na furaha.
Wewe Ni muhimu na Bora Sana kwangu.
Ahsante kwa kunielewa na uchizi wangu..Kuna muda najua nakukera[emoji23][emoji23] ila ndiyo Basi tena Mimi ndiyo rafikiyo na shida yako..unipeleke kwa Nani thatha!!??
Yesu wetu akutunze mpendwa.. Nakupenda Sana ssssss akeeee..
God bless you.[emoji8][emoji8]
Uache matani yako ya kuniambia Nina kisauti Kama Cha mtoto.. nimeanza tiz next time nakubonda
Cheers [emoji480][emoji480][emoji480][emoji480][emoji480]
Jambazi haez kuwa mr romantic Super Villain 😁😁
Uzuri ni kwamba sasa hivi umeshakumbuka,
Wezesha basi mpango
Super Villain uje ujibu mashtaka[emoji3]Lawama zote ziende kwa huyu mzaliwa wa leo Super Villain. Alihakikisha kwa juhudi zake sionekani kabisa humu ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah mm huyo tena [emoji15]Lawama zote ziende kwa huyu mzaliwa wa leo Super Villain. Alihakikisha kwa juhudi zake sionekani kabisa humu ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana ulipanga kumuwish Super Villain happy birthday 😊😊. Nimeharibu mipangoUmeniwahi
Happy birthday to him