N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,195
- 12,477
KUS-SITREP hali ni shwari mpaka muda huu 0324 over0257-Mpaka sasa hapa Head quarter Ni shwari kabisa....Sijapata report ya KAS-KUS-MASH- MAGH Please! Wakuu wa huko tuma report over.
Tuendelee kulisongesha mkuu no kusinzia...3:20 am
Uwe unazunguka zunguka mpaka upande huu wa kusini mkuu. Mambo mazuri huku03:04 nawaangalia tu
Partner wako umemuacha waliokuwa mlinzi hodari?
Poa Poa kabisaUwe unazunguka zunguka mpaka upande huu wa kusini mkuu. Mambo mazuri huku