Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,764
- 15,585
Means, kukesha muhimu..Nilipitiwa kidogo, ila now umekata kabisa baada ya dogi kulalama sana nje.
Hebu ngoja nikachek kwanza kunani nje.?
Means, kukesha muhimu..Nilipitiwa kidogo, ila now umekata kabisa baada ya dogi kulalama sana nje.
Hebu ngoja nikachek kwanza kunani nje.?
Shaka bila!Suriya said:Means, kukesha muhimu..
Vp yako ilishapita au next month?Aisee..
Jana ulikuwa wapi?Suriya said:Ety leo ndio nimeona, JamiiForums imebadilishwa mwonekano
👋👋Mi Amor - whozu 🎶
Bado ni siku 3 leo ndio mwishoSherehe ya kumuaga covid19 imeisha shwari kabisa 12:22
Poa.Sijui
Next month/week mwanzoni mwanzoni kabisaSuper Villain said:Vp yako ilishapita au next month?
We sindio wale wa mwisho mwisho mnamalizia malizia.Next month/week mwanzoni mwanzoni kabisa
Saiz ukialikwa jua unaenda kula kiporo tu au ukoko.Wanamgambo,hamjapata mwaliko ...naona mnazunguka zunguka tu na tochi zenu
Mambo?Mama kajikataaaa
Mpaka sasa bila bilaWanamgambo,hamjapata mwaliko ...naona mnazunguka zunguka tu na tochi zenu
ha ha ha haSaiz ukialikwa jua unaenda kula kiporo tu au ukoko.
Poa, Niaje?Mambo?
Watakuwa hawana uzalendoMpaka sasa bila bila


Gud tu naleo upo idlenessPoa, Niaje?
