Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
nakuachia lindo mzee nishazidiwa teyari hapa 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️02:02am
nakuachia lindo mzee nishazidiwa teyari hapa 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️02:02am
Amsha wote parade yangu nw.Leo wezi wataiba Hadi jukwaa la siasa [emoji1787],, maana sio kwa walinzi kupiga mbonji kiasi hikii duuh
Sent using Jamii Forums mobile app
Walinzi wanakula daku la mwisho mwishoLeo nimeshtukiza hapa Inasikitisha sana!! Au kuna kamgomo....Mishahara si jioni ya leo jama.....