@Depal anajifananisha na yna2 wakati ye bado m-bichii[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Ila wewe huna uzee aisee, unaonekana bado kijana kabisa
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Nyoosha miguu, kirungu kiunoni macho mita mia kutakucha tu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja niwe na subira...
Mbichi Yna@Depal anajifananisha na yna2 wakati ye bado m-bichii[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote inaonekana bado wabichi! [emoji40][emoji40][emoji38][emoji38][emoji38]@Depal anajifananisha na yna2 wakati ye bado m-bichii[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe ndio bado mbichi kama tembele lilochumwa sahiv, ndio kwanza utomvu unadondoka [emoji23][emoji23][emoji23]Mbichi Yna
Me nishakauka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona unatafuta ugomvi wa nguvu na ngumi huna..@Depal anajifananisha na yna2 wakati ye bado m-bichii[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie kizee..soon natembelea fimboWote inaonekana bado wabichi! [emoji40][emoji40][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Ila usingizi wa muda huu huwa mtamu sana, nusu macho nusu ndotoni, sijui hata ikawaje nimeamka.
Kuna watu wanasema wabichi, wataiva mwezi wa ngap niweke order kabisaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati hata quarante (40) hujafika, ukikunjwa bado unakunjika kama migebuka [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nakuona vile unavyoita haha.Mbichi Yna
Me nishakauka
Adios amigo![emoji120]Was nice to be here, until later. Adios
Utamwadhibu umpendaye?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona unatafuta ugomvi wa nguvu na ngumi huna..
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ikiisha tu hapo! [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wanasema wabichi, wataiva mwezi wa ngap niweke order kabisaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Am out babeNimekuja [emoji7][emoji7]