bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
MtagWaungwana nimeshindwa kumsubiri huyu mrembo, akija mnistue.
Mida kidogo
😀😀Asee si mchezo
Ndiyo nmetoka kula
Usingizi umekuzidia au?Bora umekuja uchukue zamu yangu.
Why don't you do me a favor..?Imeganda ile
🙏🙏🙏Salama kabisa
Ohooooo ww saa 11 swaumu inaanza kukukaba nakwambia,kwann umewahi hivyo wakati uko lindoni?Ndiyo nmetoka kula
🤣🤣😂Ndiyo nmetoka kula
Nilikiwepo mida flani hv
[emoji23][emoji23] Ngoja mwezi uishe kama kawaida tutafanya tunavyo fanya.Sa tunafanyaje[emoji2960][emoji2960]
Naona saa 8 ishakaribia.Usingizi umekuzidia au?
Ebu ww usiuze siri za kambiWhy don't you do me a favor..?
Sijaona ugumu hapo ila ni vile tu hujiamini
[emoji23][emoji23]huu mwezi unatubania madeal [emoji2960] in sha allah bado 15 days[emoji23][emoji23] Ngoja mwezi uishe kama kawaida tutafanya tunavyo fanya.
Worry out girl hakuna wa kuelewa!..Ebu ww usiuze siri za kambi
[emoji23][emoji23][emoji23] Tutajua tunaanzia wapi tutaendelea kujionea maajabu tu kama kawaida yetu.[emoji23][emoji23]huu mwezi unatubania madeal [emoji2960] in sha allah bado 15 days
Kulala ndio kunenepa kwani?Laleni mnenepe jamani
😀😀😀 nimekula sana, nna imani nitatoboaOhooooo ww saa 11 swaumu inaanza kukukaba nakwambia,kwann umewahi hivyo wakati uko lindoni?
Sent using Jamii Forums mobile app